Nafasi Ya Matangazo

July 31, 2014

Nyota wa Vichekesho ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Anne Kansiime kutoka Nchini Uganda amewasili nchini jioni hii tayari kwa onesho lake litakalofanyika Agosti 2 mwaka huu katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar es Salaam.

Nguli huyo aliwasili jioni hii na na kupokelewa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na   wenyeji wake kutoka Radio 5 wakiongozwa na Meneja Biashara wa TAN MEDIA, Angela Maina.
 Anne Kansiime akisindikizwa na mabausa mara baada ya kuwasili.
 Kansiime hakuisha vituko uwanjani hapo na hapa akipiga pozi na mabaunsa.
Meneja Biashara wa TAN MEDIA, Angela Maina (kulia) akiwa na mgeni wake mchekeshaji Anne Kansiime.
Posted by MROKI On Thursday, July 31, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo