Nafasi Ya Matangazo

April 19, 2014

Misa ya Sima na Gavana Joho in Voa 078Kutoka kushoto Seneta wa County ya Monmbasa Hassan Omar , Mtangazaji wa VOA Abdushakur Aboud , Gavana wa Mombasa County Ali Joho na waziri wa Vijana , Jinsia na Michezo wa County hiyo Hazel Koitabawalipotembelea kipindi maarufu cha "LIVE TALK " idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika-VOA Ijumaa Aprili 18,2014.
Misa ya Sima na Gavana Joho in Voa 105Kutoka kushoto Waziri wa Vijana , Jinsia na Michezo katika County ya Mombasa, Katibu wa County Hamisi Mwaguya,Barbara Aron, Chanzera, mtangazaji wa VOA Aida Issa na Tuni Mwalukumbi msimamizi mwa utawala County.
Misa ya Sima na Gavana Joho in Voa 097Kutoka kushoto Abdushakur Aboud, Mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza , Gavana wa Mombasa Ali Joho , Sunday Shomari,Seneta wa Mombasa County Hassan Omar, waziri wa County wa Vijana , Jinsia na Michezo Hazel Koitaba na katibu wa County Hassan Mwaguya. Kusikiliza kipindi hiki fuata link hii http://www.voaswahili.com/archive/jioni/latest/2948/2948.html na kwa picha zaidi ungana na Sunday Shomari.com
Posted by MROKI On Saturday, April 19, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo