Nafasi Ya Matangazo

December 18, 2012

     Meneja wa Kampuni ya Kioo Ltd Bw. Kishir, akipokea oda ya vinywaji vikali vya Johnnie Walker kutoka kwa balozi wa vinywaji vikali wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd baada ya kufanya oda hiyo na kufungiwa kwenye mfumo mzuri wa zawadi. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za Kioo Ltd zilizopoChang’ombe. Kampeni hii ya kutoa zawadi za mwisho wa mwaka zinaendeshwa kwa msemo usemao ‘Say it Without Saying it’. Maana yake toa zawadi kwa uwapendao badala ya kusema kwa maneno. Hivyo zawadi ya Johnnie Walker ndio muafaka kwa kipindi hiki.
Zawadi ya John Walker ambayo imepokelewa na Mkurugenzi wa Kioo Ltd Bw Kishir baada ya kufanya oda yake
Baadhi ya Mabalozi wa Vinywaji Vikali vya John Walker Kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwa katika Picha ya Pamoja mara baada ya kukabidhi oda hiyo katika ofisi za Kioo Ltd zilizopo Chang'ombe 
Balozi wa Vinywaji vikali kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Brewries Ltd akishusha moja ya Oda iliyofanywa na Mkurugenzi wa Kioo Ltd Bw Kishir wakati walipofikisha Oda hiyo ikiwa ni katika kampeni ya kutoa Zawadi inayokwenda kwa Jina la "Say it without Saying it"
Posted by MROKI On Tuesday, December 18, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo