Nafasi Ya Matangazo

November 14, 2012

Mratibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro (MECKI) Bw,Yusuph Michael Mazimu Masanja akiwa katika tabasamu na Mkewe Shanny Mwakisombole mara baada ya ndoa yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita huko Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora.Bw Mazimu ni mtangazaji wa kituo cha radio cha Moshi FM na Bibi harusi pia ni mtangazaji wa kituo kipya cha radio cha Kibo FM vyote vya mkoani Kilimanjaro.
Posted by MROKI On Wednesday, November 14, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo