Nafasi Ya Matangazo

November 14, 2012

 Shangwe za hapa na pale zilitawala kwenye viwanja vya Kizota.
Mwenyekiti mpya wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na mmoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya aitwaye Magida mapema jana kwenye viwanja vya Kizota,nje kidogo ya Mji wa Dodoma,ambako kulifanyika mkutano mkuu wa chama hicho Taifa.
 Mh.Komba kama kawa akiwarusha vilivyo wajumbe wa CCM ndani ya ukumbi wa Kizota jana jioni mara baada ya matokeo ya viongozi wa juu wa chama hicho kutangazwa rasmi.
 Haaa haaaa Wadau nao kitu cha nyama choma kilihusika kama hivi pia.
 Wajumbe wa CCM kutoka sehemu mbalimbali wakipongezana baada ya kazi nzito ya kuwachagua viongozi wao wa ngazi ya juu wa chama hicho.Pichani kulia Mzee Asas akisalimiana na DC wa Bagamoyo, Ahmed Kipozi.
 Wazir Mkuu,Mh Pinda akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa CCM nje ya viwanja vya Kizota,mapame jana jioni.
 Rais Kikwete akipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama cha CCM Bara mapema jana kwenye ukumbi wa Kizota mjini Dodoma,Kulia kwake ni Mh Philip Mangula ambaye ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara
Mh Januari Makamba alipokuwa akisoma salamu mbalimbali zilizokuwa zikitumwa kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi,kuitakia CCM uchaguzi wao salama na wenye amani,mapema jana ndani ya ukumbi wa Kizota.
 Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Marlow akiwaimbisha wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm-Taifa mapema jana jioni ndani ya ukumbi wa Kizota,mjini Dodoma.
Mama lao kutoka TOT,Khadija Kopa akiwarusha vilivyo wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm-Taifa (hawapo pichani) mapema jana jioni ndani ya ukumbi wa Kizota,mjini Dodoma.
 Wajumbe wakifuatia jambo kwa makini.
 wajumbe wakibadilishana mawazo.
 Wajasiliamali kama kawa
 Wadau wa mtandao nao walikuwepo pia.
 Nyama choma ilikuwepo,Wajumbe wa CCM alijinoma pia.
 
Wajumbe wakiangalia picha zao
 
Posted by MROKI On Wednesday, November 14, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo