Nafasi Ya Matangazo

November 17, 2012

Wakiwa na nyuso za furaha ni Maharusi Enock Chambile na mke wake kipenzi, Mercy Nguku mara baada ya wawili hao kuamua kuwa mwili mmoja baada ya kufunga ndoa yao Takatifu Katika Kanisa la KKKT Usharika wa Makambako Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe Novemba 17, 2012 na baadae kufuatiwa na tafrija kubwa katika Ukumbi wa Green City uliopo barabara kuu ya Njombe-Mbeya mjini Makambako. 

Photos:  MD Digital Company; +255 755 373 999 au +255 717002303 D'Salaam.
Bi Harusi, Mercy Nguku akimvisha pete ya ndoa Mume wake, Enock Chambile kama ishara ya na alama ya ndoa yao takatifu waliyoifunga.
Maharusi Enock na Mercy wakiwa katika mapozi yao ya picha.
Maharusi wakipozi kwa picha mwanana
Wapambe wa kike wakipiga picha ya pamoja na Bi harusi Mercy Nguku
Hapa waliamua kumbeba Bi Harusi nae akajiachia kwa raha zake.

hapa ni wadau wa ukurasa wa facebook wa Home Sweet Home (Kimzumbe Mzumbe) waliowakilisha katika mnuzo huo wakishow love na maharusi. kutoka shoto ni Mama Chambile, Martha Chambile, Mroki Mroki 'Father Kidevu' Mrs Enock na Enock
Kiungo mchezeshaji, Christopha Kidenya nae aliwakilisha Kimzumbe Mzumbe.
Posted by MROKI On Saturday, November 17, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo