Nafasi Ya Matangazo

June 13, 2012

Washiriki wa shindano la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa kwenye kambi yao iliyopo kwenye Hotel ya Kitalii ya Giraffe jijini Dar Es Salaam tayari kwa shindano lao la jumamosi hii kumpata mwakilishi wa Taifa.

Toka kulia ni Gloryblaca Mayowa (Lindi) Hamisa Hassan (Kinondoni) Queen Saleh (Ilala) Christine Willium (Iringa) Pendo Laizer (Arusha) Lisa Jensen (Mara) Mwajabu Juma (Temeke) Neema Saleh (Ilala) Jeneffer Kalolaki (Ilala) Stella Mbuge (Kinondoni)
 Warembo wakifurahia kuingia kambini
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert  Makoye (kulia) na Miss Tanzania 2011, Salha Israel wakiwakaribisha warembo hao kambini hii leo.
Posted by MROKI On Wednesday, June 13, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo