Nafasi Ya Matangazo

June 03, 2012

 
 Juni 2, 2012 ni siku ya kukumbukwa ya Mfaume Idrisa Kilangi na Emme Mwambalulu kufuatia kuiteua siku hiyo kuwa siku yao ya kufunga ndoa takatifu baina ya wawili hao waliopendana na kuamua kuwa Mwili mmoja mbele za Mungu. Ndoa hiyo ilifungwa Katika Kanisa la KKKT Usharika wa Sinza Jijini Dar es Salaam.
 Hakika ni agano jema kwa wawili hawa ...
 Emmy akimvisha Mfaume Pete ya Ndoa na kuwa Ishara ya ndoa yao takatifu. 
 Familia katika picha ya pamoja
 Shangazi wa Bwana Harusi akipiga picha na Maharusi
 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa Kanisani katika Ibada ya Ndoa
 Tafrija kubwa ilifanyika Sinza jijini Dar es Salaam ya kuwapongeza maharusi.
 Mzee Halo Halo Bwana Atenaka akifurahi na Familia ya Dalas ilipo wasili ukumbini
 Mdau Eddo nae alifika kumpa tafu best yake
 Ilikuwa full kujiachia...
 Hawa nao wapo mbioni ni Ndoa Ijayo...
 Toka kulia ni Fatuma Mkora, Peris Daniel na Victoria Kaluse wakitenda haki kwa sherehe
 Wageni mbalimbali wakipata chakula
 Eti Ooooh! Wake wenza hawapatani ...ona hawa hapa Debora Mroki (kushoto) akiwa na Mke Mwenzie Agnes.
Watoto wetu nao walihudhurua sherehe ya kaka yao
 Mzee Idris Kilangi  akicheza na Mkwewe
 Maharusi wa kiwa na Mzee King Kikii wa Kitambaa cheupe
 Watu wakiyarudi magoma
Hapa ni tarumbeta tu Gita badae..
Posted by MROKI On Sunday, June 03, 2012 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJune 04, 2012

    happy to jicho deborah...hi to ha.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo