Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2012

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Banji akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mutindo Mutiso alipomtembelea Balozi huyo Ofisini kwake leo na kuzungumza mambo mbalimbali. Banji ameanza ziara maalum ya kuwatembelea Mabalozi wa nchi Wanachama wa Afrika Mashariki(EAC) waliopo Tanzania kabla ya kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo mwezi ujao jijini Arusha yalipo makao Makuu ya EAC na Mhimili huo wa Serikali za EAC.
Posted by MROKI On Monday, May 07, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo