Nafasi Ya Matangazo

May 15, 2012

 Bi. Christiana Figeres, Executive Secretary wa  United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC) akifungua mkutano  wa kimataifa wa sayansi na taaluma wa mabadiliko ya tabia nchi, Mjini Bonn Ujerumani.
 Pichani Kulia, Bw Richard Muyungi Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Mazingira Ya Ofisi wa Makamu wa Rais, ambae Pia ni mwenyekiti wa Dunia wa kamati ya sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi, pamoja na washiriki wengine katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya Tabia nchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani
Mbele Kulia, Bwana Alfonce Bikulamchi, Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais akifuatilia kwa umakini ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi na Taaluma wa masuala ya mabadiliko ya Tabia Nchi unaondelea Mjini Bonn Ujerumani,( Picha na Evelyn Mkokoi, Bonn)
Posted by MROKI On Tuesday, May 15, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo