Nafasi Ya Matangazo

May 01, 2012

Katibu mtendaji wa baraza la Taifa la mitihani Tanzania (NECTA),Dk. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa shule zote  za Sekondari nchini,Katika Matokeo hayo,Shule iliyofanikiwa kuongoza ni MARIAN GIRLS iliypo mjini Bagamoyo.

Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na  kusema kuwa sasa adhabu itakuwa ni mwaka 1  kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.
BOFYA HAPA MATOKEO
Posted by MROKI On Tuesday, May 01, 2012 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJune 28, 2012

    matokeo ya kukata rufaa no.P110.0626

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2013

    Hamna kukata rufaa wala nn, mlifeli wenyewe.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo