Nafasi Ya Matangazo

November 02, 2011

Mfanyakazi wa DataVision, Bi Latifa Wamunza akimkabidhi zawadi kwa Fatuma Abdalla wa kituo cha Kimbangulile kilichopoa Mbagala Rangi Tatu. Wanaongalia ni Katibu wa kituo hicho, Bi. Mary Mbega na mlezi wa kituo hicho.
 mmjoja wa wafanyakazi akigawa zawadi kwa watoto.
Bi. Teddy Qirtu akiwa amembeba mtoto Ramadhani (miaka 3) ambaye ana ulemavu wa mguu wa kulia na viungo vyake vya kulia havikui. Wengine pichani  ni baadhi ya wafanyakazi wa Datavision na wa nne kushoto ni mama yake Ramadhani.
Posted by MROKI On Wednesday, November 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo