Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2010

Kaimu Kamanda wa Jeshi la pamoja la kulinda amani la Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika Jimbo la Darfur (United Nations African Mission in Darfur (UNAMID) nchini Sudan Meja Jenerali Duma Ndutyana akikagua gwaride wakati sherehe za kuvisha nishani amani ya UN kwa kikundi cha JWTZ cha TANZBATT-1, kushoto kwake ni Kamanda wa gwaride hilo Kapteni Francis Justine Jabu.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la pamoja la kulinda amani la Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika Jimbo la Darfur (United Nations African Mission in Darfur (UNAMID) nchini Sudan Meja Jenerali Duma Ndutyana akimvisha nishani mmoja wa maafisa wa TANZBATT-1 Luteni Furaha Pasalima Kateni wakati sherehe za kuvisha nishani amani ya UN kwa kikundi cha JWTZ cha TANZBATT-1.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la pamoja la kulinda amani la Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika Jimbo la Darfur (United Nations African Mission in Darfur (UNAMID) nchini Sudan Meja Jenerali Duma Ndutyana akimvisha nishani mmoja wa maafisa wa TANZBATT-1 Luteni Rajabu Issa Kiyungi wakati sherehe za kuvisha nishani amani ya UN kwa kikundi cha JWTZ cha TANZBATT-1.

Sehemu ya Wanajeshi wa JWTZ walioshiriki kwenye gwaride la sherehe za kuvishwa nishani ya amani ya UN kwa kikundi cha TANZBATT-1lililofanyika Darfur nchini Sudan


Kaimu Kamanda wa Jeshi la pamoja la kulinda amani la Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika Jimbo la Darfur (United Nations African Mission in Darfur (UNAMID) nchini Sudan Meja Jenerali Duma Ndutyana akimvisha nishani mmoja wa maafisa wa TANZBATT-1 Luteni Bakari Songoro Songoro wakati sherehe za kuvisha nishani amani ya UN kwa kikundi cha JWTZ cha TANZBATT-1.

Posted by MROKI On Friday, July 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo