Mdau Johnson Mshana wa Bank M jana alimeremeta baada ya kufunga pingu za maisha na Bi Patricia Komnanya sasa Mrs Mshana.Ndoa takatifu ilifungwa katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach na baade Mpunga ukaliwa kiwanja cha Mlimani City.
wageni waalikwa na marafiki wa karibu na bwana harusi wakiwa ukumbini... marafiki wengi walikuwepo...
Wafanyakazi wenzake na bwana harusi walikuwepo...
ilipendeza ...
Wadau wa Bank M wakiwa shughuhulini...
Wadau Mpinga toka Zantel na Bi Nkini toka Precision Air hawakukosekana...
Wapo waliosafiri kama Mdau wa AICC (shoto) Rodney hapa akichart na Mzee wa sheria Omega Ngole.
nami niliungana nawadau tukalamba hii ...
Kamati Tendaji ilioongozwa na CEO wa Kamati hii Kyaruzi aliyeshika kadi kulia.
wakubwa nao walimuunga mkono.
Hapa kuna makapela sugu ambao kamati hii haitafunjwa kwaajili yao , Emma, Rodney na mzee wa PSI. CEO Kyaruzi tuwatendee haki hawa.
So beautiful, mmependeza sana. Mungu awajalie maisha mema yenye Amani, Upendo na Faraja. HONGERENI SANA. Bibi harusi tumemaliza wote hapo Chuo cha mjini kuliko vyote. Hi Rodney!!!!!!!Mambo yako?
JMO hapo upo Bwaksi ile kinomi, Mark na Faza Kidevu naona mnawakilisha na bwana harusi
ReplyDeletenimewapenda hao makapela,,
ReplyDeletesasa mnatimizaje haja zenu???
kuoa ni baraka jamani tafuteni wake
afu bi harusi anafanya kazi wapi?
hellooo RODNEY
ReplyDeletehow r you?so uko A-town naja
So beautiful, mmependeza sana. Mungu awajalie maisha mema yenye Amani, Upendo na Faraja.
ReplyDeleteHONGERENI SANA.
Bibi harusi tumemaliza wote hapo Chuo cha mjini kuliko vyote.
Hi Rodney!!!!!!!Mambo yako?