Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2010

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein na mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto), Rais Bingu Mutharika wa Malawi na Mkewe Mama Callesta wakiongoza kucheza Dance wakati wa Tafrija ya Sherehe ya Harusi ya Rais Mutharika katika Viwanja vya Ikulu mjini Lilongwe jana.
Makamu wa rais Dk. Ali Mohamed shein akimpongeza Rais Bingu Mutharika wa Malawi baada ya kufunga ndowa na bibi Callesta katika uwanja wa taifa wa Civo mjini Lilongwe.

Posted by MROKI On Sunday, April 18, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo