Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2010


Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Njiapanda – Himo mkoa wa Kilimanjaro Julius Mghamba (kushoto) akipokea vifaa maalum vya kuwezesha kusikia kwa wanafunzi 36 wenye ulemavu wa kutosikia kutoka kwa Afisa Ugavi Mwandamizi wa TEA Freddy Mbeyella .Vifaa hivyo 24 vinathamani ya shilingi milioni 7.8m. TEA imeanza kutoa vifaa vilivyokusanywa kwenye kampeni ya uchangiaji vifaa vya kujifunzia na kufundishia wanafunzi wenye ulemavu iliyozinduliwa rasmi Mei 2009 na Mke wa Rais Salma Kikwete.
Posted by MROKI On Tuesday, March 02, 2010 1 comment

1 comment:

  1. good~ keep sharing with us, please....I will waiting your up date everyday!! Have a nice day........................................

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo