Nafasi Ya Matangazo

March 20, 2010

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Mbatia akihutubia wakazi wa Kawe Dar es Salaam leo wakati akitangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe kwa tiketi ya chama chake. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Ritha Mlaki wa CCM.
Wakazi wa Kawe wakimsikiliz Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi katika viwanja vya Tanganyika Perckers Kawe leo jioni.
Posted by MROKI On Saturday, March 20, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo