Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2010

Waziri wa Nisahati na madini, William Ngeleja (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Askofu Zachari Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Fellowship la Mwenge Dar es Salaam aliyekuwa akipinga upitishaji wa nguzo za umeme mkubwa karibu na Kanisa lake. Hatimaye Kakobe amkeridhia nguzo hizo ziwekwe na umeme upite.
Kakobe aliweka kambi ya ulizi na waumini wake kulinda kampuni ya ujenzio wa nguzio hizo kupitisha umeme huo.
Posted by MROKI On Saturday, March 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo