Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika Bweni la Mapinduzi One, alilolala wakati akiwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Pugu kwenye miaka ya 60. Mheshimiwa Pijnda alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya shule hiyo, Januari 21, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Pugu, Mohsin Abdul maarufu kwa jina la Kapeto (mwenye ulemavu). aliyekuwa akimuonesha kitu Waziri Mkuu.
Posted by MROKI On Thursday, January 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo