Ilumminata aenda China kuwania taji la Miss International
Miss Universe Tanzania 2009, Illuminata James, mshindi wa akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere Dar es Salaam jana akienda nchini China kushiriki mashindano ya Mrembo wa Kimataifa yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu katika mji wa Chengdu.
Illuminata akipozi kwa picha uwanjani hapo.
Miss Universe Tanzania 2009, Illuminata James, mshindi wa akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere Dar es Salaam jana akienda nchini China kushiriki mashindano ya Mrembo wa Kimataifa yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu katika mji wa Chengdu.Illuminata akipozi kwa picha uwanjani hapo.






safari njema na utuwakilishe vema huko dada yetu.
ReplyDelete