Nafasi Ya Matangazo

September 18, 2009

Wadau wangu nakumbushia tu ya mwaka jana, ya mwaka huu ipo inasubiri muda wa kufuturu ndo tuikate. Nimeanza ngwe ya lala salama ya kustaafu. Mniombee heri.Pia Septemba 18 ni siku ambayo alifariki baba yangu Sir. Shauri T Nathan.ambaye yeye alizaliwa tar 18-8-1925. Hivyo leo anatimiza miaka 2 tangu atangulie mbele za haki.
Posted by MROKI On Friday, September 18, 2009 2 comments

2 comments:

  1. Pole sana kaka mroki kwa kufiwa na baba. Pia hongera kwa birtdhay. Please keki ya safari hii iwe kubwa kidogo ili kila mdau apate.

    ReplyDelete
  2. Happy Birthday kaka.na pia pole sana kwa kukumbuka siku ya kifo cha mzee wetu.

    PamoJah Kaka

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo