Nafasi Ya Matangazo

December 24, 2008

Wakazi wa kijiji cha Embukoi wakilia kwa uchungu wakati mili ya watoto waliolipukiwa na bomu ikichukuliwa na polisi kwa ajili ya kuhifadhiwa katika hospiutali ya Kibong’oto iliyopo wilayani Siha Mkoani Kilimajaro.



Posted by MROKI On Wednesday, December 24, 2008 5 comments

5 comments:

  1. Mkwe ni kweli inasikitisha sana, lakini kama usipotuhabarisha tutajuaje? Picha zinasikitisa lakini ndio ukweli wenyewe. Wenzetu wanasema visuals are stronger than anything, manake lazima tuwe Tomaso

    ReplyDelete
  2. Hallow bro Mroki,
    Tafadhali tunakuomba uondoe hizo picha za miili ya hao watoto waliolipukiwa na bomu. Ki-Ustaarabu mtu akifa sio vyema kuonyesha maiti yake.

    Mdau,
    Ugweno.

    ReplyDelete
  3. Kaka Mroki'
    Sio jambo jema kuonyesha miili ya watu kama hivyo jamani. Embu fikiria angekuwa mtoto wako ungejisikiaje?

    ReplyDelete
  4. Nakuomba father kidevu uondoe hizo picha za miili ya watoto waliouwawa na bomu. kiustaarabu mtu anapofariki si vema kuonedha maiti yake.

    ahsante.


    Mdau-Ugweno

    ReplyDelete
  5. unaomba msamaa wa kuonyesha hizo ingawa umeamua kuonyesha anyway ndiyo upuuzi wenu wapiga picha wa kibongo

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo